Al-Ikhlasقُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌSema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُMwenyezi Mungu Mkusudiwa. لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡHakuzaa wala hakuzaliwa. وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢWala hana anaye fanana naye hata mmoja.