إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَخۡفَىٰ عَلَيۡهِ شَيۡءࣱ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا فِي ٱلسَّمَآءِ ٥
Al-Imran 3:5
سورة آل عمران
Madina
Aya: 5/200
Ukurasa 50
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika Mwenyezi Mungu, ujuzi Wake umewazunguka viumbe wote. Hakuna kitu chenye kufichika Kwake katika ardhi wala katika mbingu, kiwe kichache au kingi.
Al-Imran 3:5
Inapakia kisomo…
0:00