إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتࣲ وَعُيُونٍ ١٥
Az-Zariyat 51:15
سورة الذاريات
Makka
Aya: 15/60
Ukurasa 521
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo makubwa na chemchemi za maji yenye kutembea. Mwenyezi Mungu Atawapa yote wanayoyatamani ya aina mbalimbali za starehe.
Az-Zariyat 51:15
Inapakia kisomo…
0:00