وَفِي ٱلسَّمَآءِ رِزۡقُكُمۡ وَمَا تُوعَدُونَ ٢٢
Az-Zariyat 51:22
سورة الذاريات
Makka
Aya: 22/60
Ukurasa 521
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na mbinguni kuna riziki yenu na yale mnayoahidiwa ya kheri na shari, na thawabu na mateso na yasiyokuwa hayo. Yote yameandikwa na kukadiriwa.
Az-Zariyat 51:22
Inapakia kisomo…
0:00