Az-Zariyat 51:32

سورة الذاريات

Makka Aya: 32/60 Ukurasa 522

قَالُوٓاْ إِنَّآ أُرۡسِلۡنَآ إِلَىٰ قَوۡمࣲ مُّجۡرِمِينَ ٣٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa watu wakosefu,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Wakasema, «Mwenyezi Mungu Ametutuma tuende kwa watu waliofanya uhalifu kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu