وَفِي مُوسَىٰٓ إِذۡ أَرۡسَلۡنَٰهُ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ بِسُلۡطَٰنࣲ مُّبِينࣲ ٣٨
Az-Zariyat 51:38
سورة الذاريات
Makka
Aya: 38/60
Ukurasa 522
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na katika kumtumiliza kwetu Mūsā, aende kwa Fir'awn na wakuu wa utawala wake, kwa aya na miujiza yenye kushinda, kuna alama kwa wanaoogopa adhabu kali.
Az-Zariyat 51:38
Inapakia kisomo…
0:00