يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدࣰا وَمُبَشِّرࣰا وَنَذِيرࣰا ٤٥
AlAhzab 33:45
سورة الأحزاب
Madina
Aya: 45/73
Ukurasa 424
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ewe Nabii! Sisi tumekutumiza uwe ni shahidi juu ya ummah wako kwa kuwafikishia ujumbe, na kuwabashiria Waumini miongoni mwao rehema na Pepo, na uwe ni mwenye kuwaonya na Moto waasi na wakanushaji.
AlAhzab 33:45
Inapakia kisomo…
0:00