وَأَنۡ أَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَٱتَّقُوهُۚ وَهُوَ ٱلَّذِيٓ إِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ٧٢
Al-An'am 6:72
سورة الأنعام
Makka
Aya: 72/165
Ukurasa 136
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mshike Sala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hivyohivyo tumeamrishwa tusimamishe Swala kikamilifu, tumuogope Yeye kwa kufanya maamrisho Yake na kuepuka makatazo Yake. Na Yeye, Aliyetukuka na kuwa juu, Ndiye Ambaye Kwake Yeye watakusanywa viumbe wote Siku ya Kiyama.
Al-An'am 6:72
Inapakia kisomo…
0:00