وَإِنۡ أَدۡرِي لَعَلَّهُۥ فِتۡنَةࣱ لَّكُمۡ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينࣲ ١١١
Al-Anbiya' 21:111
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 111/112
Ukurasa 331
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na sijui huenda kukawa kule kucheleweshwa adhabu mliyoitaka iwajie kwa haraka ni mavuto na mtihani kwenu, na ili mjistareheshe ulimwenguni mpaka muda ukome, mpate kuzidisha ukafiri, kisha hiyo iwe ni sababu ya nyinyi kupata mateso makubwa zaidi.
Al-Anbiya' 21:111
Inapakia kisomo…
0:00