۞ وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَآ إِبۡرَٰهِيمَ رُشۡدَهُۥ مِن قَبۡلُ وَكُنَّا بِهِۦ عَٰلِمِينَ ٥١
Al-Anbiya' 21:51
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 51/112
Ukurasa 326
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika tulikwisha mpa Ibrahim uwongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwa hakika, tulimpa Ibrāhīm uongofu wake ambao yeye aliwalingania watu waufuate kabla ya Mūsā na Hārūn. Na sisi tulikuwa tunajua kwamba yeye anastahiki hilo.
Al-Anbiya' 21:51
Inapakia kisomo…
0:00