قَالُوٓاْ أَجِئۡتَنَا بِٱلۡحَقِّ أَمۡ أَنتَ مِنَ ٱللَّٰعِبِينَ ٥٥
Al-Anbiya' 21:55
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 55/112
Ukurasa 326
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Je! Umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakasema, «Je, neno hili ambalo umekuja nalo kwetu ni la usawa na ukweli, au neno lako ni la mtu anayefanya mzaha na shere, hajui analosema?»
Al-Anbiya' 21:55
Inapakia kisomo…
0:00