فَجَعَلَهُمۡ جُذَٰذًا إِلَّا كَبِيرࣰا لَّهُمۡ لَعَلَّهُمۡ إِلَيۡهِ يَرۡجِعُونَ ٥٨
Al-Anbiya' 21:58
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 58/112
Ukurasa 327
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi akayavunja vipande vipande, ila kubwa lao, ili wao walirudie. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo Ibrāhīm akawavunjavunja masanamu akawafanya vipande- vipande vilivyo vidogo na akamuacha mkubwa wao, ili watu wake wapate kumrudia kumuuliza, na ili ulemevu wao na upotevu wao upate kujulikana waziwazi, na ili hoja isimame kwao.
Al-Anbiya' 21:58
Inapakia kisomo…
0:00