فَرَجَعُوٓاْ إِلَىٰٓ أَنفُسِهِمۡ فَقَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ أَنتُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ ٦٤
Al-Anbiya' 21:64
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 64/112
Ukurasa 327
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wakajirudi nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo wakatahayari na ukawafunukia wazi upotevu wao, vipi wanawaabudu na ilhali wao wanashindwa kujitetea wenyewe kitu chochote wala kuwajibu mwenye kuwauliza? Na wakakubali wenyewe kuwa wamefanya udhalimu na ushirikina.
Al-Anbiya' 21:64
Inapakia kisomo…
0:00