وَحَرَٰمٌ عَلَىٰ قَرۡيَةٍ أَهۡلَكۡنَٰهَآ أَنَّهُمۡ لَا يَرۡجِعُونَ ٩٥
Al-Anbiya' 21:95
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 95/112
Ukurasa 330
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Haiwezekani kwa watu wa miji tuliyoiangamiza, kwa sababu ya ukanushaji wao na dhulma zao, kurudi duniani kabla ya Siku ya Kiyama ili kurakibisha kasoro zao ambazo walikuwa nazo.
Al-Anbiya' 21:95
Inapakia kisomo…
0:00