ذَٰلِكُمۡ فَذُوقُوهُ وَأَنَّ لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابَ ٱلنَّارِ ١٤
Al-Anfal 8:14
سورة الأنفال
Madina
Aya: 14/75
Ukurasa 178
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ndio hivyo! Basi ionjeni! Na bila ya shaka makafiri wana adhabu ya Moto. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Adhabu hiyo niliyoiharakisha kwenu, enyi makafiri mnaoenda kinyume na amri za Mwenyezi Mungu ulimwenguni, ionjeni katika maisha ya kilimwengu, na huko Akhera mtakuwa na adhabu ya Moto.
Al-Anfal 8:14
Inapakia kisomo…
0:00