Al-'Ankabut 29:57

سورة العنكبوت

Makka Aya: 57/69 Ukurasa 403

كُلُّ نَفۡسࣲ ذَآئِقَةُ ٱلۡمَوۡتِۖ ثُمَّ إِلَيۡنَا تُرۡجَعُونَ ٥٧

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kila nafsi iliyo hai ni yenye kuonja kifo, kisha kwetu sisi mtarejea muhesabiwe na mulipwe.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu