فَلَنَقُصَّنَّ عَلَيۡهِم بِعِلۡمࣲۖ وَمَا كُنَّا غَآئِبِينَ ٧
Al-A'raf 7:7
سورة الأعراف
Makka
Aya: 7/206
Ukurasa 151
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Tena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Tutawaelezea, tena tutawaelezea, viumbe wote yale waliyoyatenda, kutokana na ujuzi wetu wa vitendo vyao ulimwenguni katika yale tuliyowaamrisha na tuliyowakataza. Na wala hatukwa mbali na wao katika hali yoyote ile.
Al-A'raf 7:7
Inapakia kisomo…
0:00