فَإِنِ ٱنتَهَوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورࣱ رَّحِيمࣱ ١٩٢
Al-Baqarah 2:192
سورة البقرة
Madina
Aya: 192/286
Ukurasa 30
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na iwapo watayaacha yale walionayo ya ukafiri na ya kuwapigeni vita kwenye Msikiti wa Haramu na wakaingia katika Imani, kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwasamehe waja Wake, ni Mwenye huruma na wao.
Al-Baqarah 2:192
Inapakia kisomo…
0:00