كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمۡ ءَايَٰتِهِۦ لَعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ٢٤٢
Al-Baqarah 2:242
سورة البقرة
Madina
Aya: 242/286
Ukurasa 39
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Namna hivi anakubainishieni Mwenyezi Mungu Aya zake ili mpate kufahamu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mfano wa maelezo hayo yaliyo wazi, katika hukumu za watoto na wanawake, Anawabainishia Mwenyezi Mungu mafunzo aya Zake na hukumu Zake kuhusu kila mnachokihitajia katika maisha yenu ya ulimwengu na marejeo yenu ya Akhera, ili mzitie akilini nz mzitumie.
Al-Baqarah 2:242
Inapakia kisomo…
0:00