ثُمَّ بَعَثۡنَٰكُم مِّنۢ بَعۡدِ مَوۡتِكُمۡ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ٥٦
Al-Baqarah 2:56
سورة البقرة
Madina
Aya: 56/286
Ukurasa 8
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate kushukuru. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha tukawahuisha baada ya kufa kwenu kwa kimondo cha moto, ili muishukuru neema ya Mwenyezi Mungu kwenu. Kifo hiki kilikuwa ni adhabu kwao, kisha aliwafufua wakaendelea kuishi mpaka muda wao kumalizika.
Al-Baqarah 2:56
Inapakia kisomo…
0:00