Al-Buruj 85:1

سورة البروج

Makka Aya: 1/22 Ukurasa 590

وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلۡبُرُوجِ ١

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation

    Naapa kwa mbingu yenye Buruji!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Mwenyezi Mungu Anaapa kwa mbingu zenye njia za kupitia jua na mwezi.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu