كَلَّاۖ بَل لَّا تُكۡرِمُونَ ٱلۡيَتِيمَ ١٧
Al-Fajr 89:17
سورة الفجر
Makka
Aya: 17/30
Ukurasa 593
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hali ya mambo si kama anavyodhania binadamu huyu, kwani mtu hutukuzwa kwa kumtii Mwenyzi Mungu na hufanywa mnyonge kwa kumuasi Mwenyezi Mungu. Na nyinyi hamwakirimu mayatima na kuwatendea wema.
Al-Fajr 89:17
Inapakia kisomo…
0:00