Al-Fajr 89:22

سورة الفجر

Makka Aya: 22/30 Ukurasa 593

وَجَآءَ رَبُّكَ وَٱلۡمَلَكُ صَفࣰّا صَفࣰّا ٢٢

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na Akaja Mola wako kutoa uamuzi kwa waja Wake hali Malaika wamepiga safu.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu