ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٢
Al-Fatihah 1:2
سورة الفاتحة
Makka
Aya: 2/7
Ukurasa 1
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kila jinsi ya sifa njema ni ya Mwenyezi Mungu, Mwenye sifa ambazo zote ni za ukamilifu, Mwenye neema za nje na za ndani, za kidini na za kidunia. Na ndani yake kuna amri ya Mwenyezi Mungu kwa waja Wake wamsifu Yeye kwa kuwa Yeye Ndiye Mstahiki wa kusifiwa Peke Yake.
Al-Fatihah 1:2
Inapakia kisomo…
0:00