أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَنَّةِ يَوۡمَئِذٍ خَيۡرࣱ مُّسۡتَقَرࣰّا وَأَحۡسَنُ مَقِيلࣰا ٢٤
Al-Furqan 25:24
سورة الفرقان
Makka
Aya: 24/77
Ukurasa 362
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watu wa Peponi, Siku ya Kiyama, watakuwa na mahali pa kutulia bora zaidi kuliko watu wa Motoni, na watakuwa na mashukio mazuri kabisa. Raha yao imekamilika na starehe yao haitatangamana na chochote kile chenye kuharibu.
Al-Furqan 25:24
Inapakia kisomo…
0:00