وَكُلࣰّا ضَرَبۡنَا لَهُ ٱلۡأَمۡثَٰلَۖ وَكُلࣰّا تَبَّرۡنَا تَتۡبِيرࣰا ٣٩
Al-Furqan 25:39
سورة الفرقان
Makka
Aya: 39/77
Ukurasa 363
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wote tuliwapigia mifano, na wote tuliwaangamiza kabisa kabisa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na ummah wote hao tuliwabainishia hoja na kuwafafanulia dalili na tukawaondolea nyudhuru (za kutojua). Pamoja na hivyo, hawakuamini, na kwa ajili hiyo tuliwapa maangamivu kwa kuwaadhibu.
Al-Furqan 25:39
Inapakia kisomo…
0:00