وَمَآ أَرۡسَلۡنَٰكَ إِلَّا مُبَشِّرࣰا وَنَذِيرࣰا ٥٦
Al-Furqan 25:56
سورة الفرقان
Makka
Aya: 56/77
Ukurasa 365
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hatukukutumiliza wewe, ewe Mtume, isipokuwa uwe ni mwenye kuwabashiria Waumini Pepo na mwenye kuwaonya makafiri na Moto.
Al-Furqan 25:56
Inapakia kisomo…
0:00