Al-Haqqah 69:2

سورة الحاقة

Makka Aya: 2/52 Ukurasa 566

مَا ٱلۡحَآقَّةُ ٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Nini hilo Tukio la haki?
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kiyama chenye kutukia kikweli ni zipi sifa zake na hali zake?

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu