وَٱلَّذِينَ سَعَوۡاْ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مُعَٰجِزِينَ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ٥١
Al-Hajj 22:51
سورة الحج
Madina
Aya: 51/78
Ukurasa 338
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wale wenye kujitahidi kufanya vitimbi ili kuzitangua aya za Qur’ani kwa kuzikanusha hali ya kuwa ni watesi na washindani, basi hao ndio watu wa Moto wenye kuwaka, wataungia na watasalia humo milele.»
Al-Hajj 22:51
Inapakia kisomo…
0:00