وَحَفِظۡنَٰهَا مِن كُلِّ شَيۡطَٰنࣲ رَّجِيمٍ ١٧
Al-Hijr 15:17
سورة الحجر
Makka
Aya: 17/99
Ukurasa 263
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tumezilinda na kila shetani afukuzwaye. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tumeuhifadhi uwingu huo na kila Shetani Aliyetolewa na aliyefukuzwa kutoka kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu ili asiufikie.
Al-Hijr 15:17
Inapakia kisomo…
0:00