رُّبَمَا يَوَدُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَوۡ كَانُواْ مُسۡلِمِينَ ٢
Al-Hijr 15:2
سورة الحجر
Makka
Aya: 2/99
Ukurasa 262
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Makafiri watatamani, watakapowaona Waumini walioasi wakitoka Motoni, lau wao walikuwa ni wenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu wakawa ni wenye kutoka kama wao.
Al-Hijr 15:2
Inapakia kisomo…
0:00