Al-Hijr 15:48

سورة الحجر

Makka Aya: 48/99 Ukurasa 264

لَا يَمَسُّهُمۡ فِيهَا نَصَبࣱ وَمَا هُم مِّنۡهَا بِمُخۡرَجِينَ ٤٨

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Haitawapata humo tabu wala uchovu. Na wao ni wenye kusalia humo milele.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu