إِلَّا ٱمۡرَأَتَهُۥ قَدَّرۡنَآ إِنَّهَا لَمِنَ ٱلۡغَٰبِرِينَ ٦٠
Al-Hijr 15:60
سورة الحجر
Makka
Aya: 60/99
Ukurasa 265
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ila mkewe. Tunakadiria huyo atakuwa miongoni watao bakia nyuma. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ama yule mke wake aliye kafiri, tumepitisha kwa amri ya Mwenyezi Mungu kumwangamiza pamoja na watakaosalia kwenye adhabu.»
Al-Hijr 15:60
Inapakia kisomo…
0:00