قَالَ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ ضَيۡفِي فَلَا تَفۡضَحُونِ ٦٨
Al-Hijr 15:68
سورة الحجر
Makka
Aya: 68/99
Ukurasa 265
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lūṭ akawaambia, «Hawa ni wageni wangu, na wako kwenye himaya yangu, basi msiniaziri,
Al-Hijr 15:68
Inapakia kisomo…
0:00