إِنَّا نَخَافُ مِن رَّبِّنَا يَوۡمًا عَبُوسࣰا قَمۡطَرِيرࣰا ١٠
Al-Insan 76:10
سورة الإنسان
Madina
Aya: 10/31
Ukurasa 579
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika sisi tunaiogopa kwa Mola wetu Mlezi hiyo siku yenye shida na taabu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwa kweli, sisi tunaiogopa, kutoka kwa Mola wetu, Siku ngumu ambayo ndani yake nyuso zitakunjana na mapaji yatasinyaa kutokana na mambo yake mazito na vituko vyake vikubwa.
Al-Insan 76:10
Inapakia kisomo…
0:00