Al-Inshiqaq 84:10

سورة الإنشقاق

Makka Aya: 10/25 Ukurasa 589

وَأَمَّا مَنۡ أُوتِيَ كِتَٰبَهُۥ وَرَآءَ ظَهۡرِهِۦ ١٠

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na yule mwenye kupewa waraka wa amali zake kwa nyuma ya mgongo wake,

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu