إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونِۭ ٢٥
Al-Inshiqaq 84:25
سورة الإنشقاق
Makka
Aya: 25/25
Ukurasa 590
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Isipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usio malizika. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lakini wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakatekeleza amri waliyofaradhiwa na Mwenyezi Mungu watakuwa na malipo, Siku ya Akhera, yasiyokatika wala kupungua.
Al-Inshiqaq 84:25
Inapakia kisomo…
0:00