وَأَنَّا لَمَسۡنَا ٱلسَّمَآءَ فَوَجَدۡنَٰهَا مُلِئَتۡ حَرَسࣰا شَدِيدࣰا وَشُهُبࣰا ٨
Al-Jinn 72:8
سورة الجن
Makka
Aya: 8/28
Ukurasa 572
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na kwamba sisi, mkusanyiko wa majini, tulitaka kufika mbinguni,kusikiliza maneno ya watu wake, tukaipata imejazwa Malaika wengi wenye kuilinda na vimondo vya moto ambavyo wanarushiwa wenye kuikaribia.
Al-Jinn 72:8
Inapakia kisomo…
0:00