وَعَرَضۡنَا جَهَنَّمَ يَوۡمَئِذࣲ لِّلۡكَٰفِرِينَ عَرۡضًا ١٠٠
Al-Kahf 18:100
سورة الكهف
Makka
Aya: 100/110
Ukurasa 304
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na siku hiyo tutawadhihirishia wazi Jahannamu makafiri waione. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tutauhudhurisha moto wa Jahanamu kwa makafiri na tutaudhihirisha kwao waushuhudie, ili tuwaoneshe ubaya wa mwisho wao.
Al-Kahf 18:100
Inapakia kisomo…
0:00