Al-Kahf 18:23

سورة الكهف

Makka Aya: 23/110 Ukurasa 296

وَلَا تَقُولَنَّ لِشَاْيۡءٍ إِنِّي فَاعِلࣱ ذَٰلِكَ غَدًا ٢٣

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho -
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na usiseme juu ya kitu chochote unachoazimia kukifanya, «Mimi nitafanya kitu hiko kesho.»

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu