إِنَّا مَكَّنَّا لَهُۥ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَءَاتَيۡنَٰهُ مِن كُلِّ شَيۡءࣲ سَبَبࣰا ٨٤
Al-Kahf 18:84
سورة الكهف
Makka
Aya: 84/110
Ukurasa 303
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Sisi tulimpa udhibiti katika ardhi na tukampa sababu na njia za kila kitu za kufikia ayatakayo ya kukomboa miji nakuwashinda maadui na yasiyokuwa hayo.
Al-Kahf 18:84
Inapakia kisomo…
0:00