فَمَا ٱسۡطَٰعُوٓاْ أَن يَظۡهَرُوهُ وَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ لَهُۥ نَقۡبࣰا ٩٧
Al-Kahf 18:97
سورة الكهف
Makka
Aya: 97/110
Ukurasa 303
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hawakuweza Ya’jūj na Ma’jūj kupanda juu ya kile kizuizi kwa kuwa kilikuwa kirefu na kinateleza, na hawakuweza kukitoboa kwa chini yake kwa umbali wa upana wake na ugumu wake.
Al-Kahf 18:97
Inapakia kisomo…
0:00