تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبࣲ وَتَبَّ ١
Al-Masad 111:1
سورة المسد
Makka
Aya: 1/5
Ukurasa 603
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Imehasirika mikono miwili ya Abu Lahab, na yeye mwenyewe ameangamia, kwa kumuudhi Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Hasara ya Abu Lahab ilithubutu.
Al-Masad 111:1
Inapakia kisomo…
0:00