كَلَّآۖ إِنَّهُۥ كَانَ لِأٓيَٰتِنَا عَنِيدࣰا ١٦
Al-Muddaththir 74:16
سورة المدثر
Makka
Aya: 16/56
Ukurasa 575
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hasha! Kwani hakika yeye alikuwa akizifanyia inadi Aya zetu! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
kwa kuwa yeye alikuwa mshindani mkanushaji wa Qur’ani na hoja za Mwenyezi Mungu kwa viumbe Wake.
Al-Muddaththir 74:16
Inapakia kisomo…
0:00