Al-Muddaththir 74:2

سورة المدثر

Makka Aya: 2/56 Ukurasa 575

قُمۡ فَأَنذِرۡ ٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Simama uonye!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Inuka kutoka kwenye malazi yako owaonye watu adhabu ya Menyezi Mungu.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu