لِمَن شَآءَ مِنكُمۡ أَن يَتَقَدَّمَ أَوۡ يَتَأَخَّرَ ٣٧
Al-Muddaththir 74:37
سورة المدثر
Makka
Aya: 37/56
Ukurasa 576
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
kwa anayetaka miongoni mwenu kujiweka karibu na Mola wake kwa kufanya matendo ya utiifu, au kujikalisha nyuma kwa kufanya matendo ya uasi.
Al-Muddaththir 74:37
Inapakia kisomo…
0:00