وَكُنَّا نَخُوضُ مَعَ ٱلۡخَآئِضِينَ ٤٥
Al-Muddaththir 74:45
سورة المدثر
Makka
Aya: 45/56
Ukurasa 576
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na tulikuwa tukizungumza maneno ya ubatilifu na watu wa upotofu na upotevu,
Al-Muddaththir 74:45
Inapakia kisomo…
0:00