كَلَّآ إِنَّهُۥ تَذۡكِرَةࣱ ٥٤
Al-Muddaththir 74:54
سورة المدثر
Makka
Aya: 54/56
Ukurasa 577
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hasha! Kwa hakika huu ni ukumbusho! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ni kweli kwamba Qur’ani ni mawaidha yenye ufasaha, yanayotosha kuwafanya wao wawaidhike.
Al-Muddaththir 74:54
Inapakia kisomo…
0:00