قَالُواْ لَبِثۡنَا يَوۡمًا أَوۡ بَعۡضَ يَوۡمࣲ فَسۡـَٔلِ ٱلۡعَآدِّينَ ١١٣
Al-Mu'minun 23:113
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 113/118
Ukurasa 349
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watasema: Tulikaa siku moja au sehemu ya siku. Basi waulize wanao weka hisabu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watasema kwa kituko cha Kisimamo na ukali wa adhabu, «Tulikuwa huko kwa siku moja au sehemu ya siku. Waulize washika hesabu wenye kuhesabu miezi na siku.»
Al-Mu'minun 23:113
Inapakia kisomo…
0:00