Al-Mu'minun 23:12

سورة المؤمنون

Makka Aya: 12/118 Ukurasa 342

وَلَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ مِن سُلَٰلَةࣲ مِّن طِينࣲ ١٢

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na kwa hakika tulimuumba Ādam kutokana na udongo uliochukuliwa kutoka ardhi yote.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu